Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke
au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya
kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa
anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo
hilo.
Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo
hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo cha mtu kuchepuka
kutafuta ladha zingine.
Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake
wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana
kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo.
1. Kichwani; juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya
damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin
na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa.
Jinsi ya kufanya; mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu.
2. Sikio; sikio ni sehemu yenye mishipa ya fahamu inayoenda
kwenye ubongo, mara nyingi sikio watu hua wanalipuuza sana na kuzani
halihusiki lakini naomba nikwambie ni moja ya sehemu inayoweza kumfanya
mtu achanganyikiwe.
Jinsi ya kufanya; anza kwa kumnong'oneza kwa sauti nzito, kisha libusu
sikio lake baada ya hapo unaweza kulamba sehemu ya sikio la nje na
baadae kuingiza ulimi ndani ya sikio kabisa. hapa msisimko ni mkali sana
na anaweza kukukwepa na kutoa sauti kali ya kimahaba.
3. Ulimi ; ulimi ni sehemu ya mwili ambayo ina mishipa mingi mara
mia moja zaidi kuliko ile mishipa ya fahamu ya viganja vyetu. msisimko
wa ulimi unasababishwa kumwagika kwa homoni ambazo zinatuletea furaha ya
mioyo yetu.
Jinsi ya kufanya; busu tu inatosha kusisimua ulimi wa mtu wako, bahati
mbaya kuna watu hawajui kubusu. ukiwa unabusu mtu usipanue mdomo mzima
kama samaki mfu... fungua mdomo wako kidogo kisha nyonya lips za juu
wakati mtu wako ananyonya za chini na hii ndio busu linavotakiwa kua.
4. Shingo; hii ni sehemu ya mwili yenye ngozi laini sana ambayo
inasisimka hata kwa kuipumulia tu na pua. ni moja ya sehemu nzuri sana
kunyonya, kulamba na kubusu.
Jinsi ya kufanya; ukiwa umemkumbatia mtu wako basi busu upande wa kulia
au wa kushoto wa shingo huku ukinyonya ngozi la eneo hilo.
5. Chuchu; wanaume wengi wanatumia sehemu hii kama sehemu kuu
kumsisimua mwanamke, ni kweli kabisa tafiti zinaonyesha kwamba sehemu ya
ubongo ambayo husisimuka chuchu za mwanamke zikiguswa ni sehemu
hiyohiyo ambayo inasisimka kinembe na uke vikiguswa. kwa hiyo ni moja ya
sehemu muhimu sana.
Jinsi ya kufanya; tomasa matiti yote ya mwanamke kwa kutumia mikono yako
miwili kisha nyonya chuchu yake taratibu huku kama unaing'ata na
kuiachia. badilisaha kwa kuchocha chuchu ya kulia na kushoto.
6. Kiuno au mgongo wa chini; kama umechunguza ni kwamba wanawake
wengi husisimka sana wakiguswa viuno vyao ghafla hata wakati wa
kukumbatiwa tu. hii ni sababu ya mishipa ya fahamu inayoenda hadi kwenye
sehemu zake nyeti hupita huko.
Jinsi ya kufanya; tomasa kama unafanya masaji sehemu ya chini kabisa ya
kiuno kabla makalio hayajaanza. hii itamfanya arelax sana lakini pia
kuongeza damu kwenda sehemu zake nyeti tayari kwa tendo la ndoa.
7. Tumbo; tumbo ni sehemu ambayo watu wengi hawaitilii manani
sana lakini misuli ya tumbo imeungana na uke moja kwa moja ndio maana
baadhi ya wanawake hufika kileleni kwa kufanya mazoezi ya tumbo
kitaalamu kama core exercises..
Jinsi ya kufanya; tomasa tumbo lake kwanzia juu kabisa ya tumbo na
kwenda tumbo la chini na kisha busu taratibu maeneo mbalimbali ya sehemu
ya tumbo na unaweza kumalizia kwa kunyonya kitovu.
8. Katikati ya mapaja; hii ni sehemu yenye msisimuko mkubwa
kwenye mwili wa mwanamke, watu wanaondesha magari wanajua siri hii kwani
wakimpakia mwanamke wanatumia njia hii kumsisimua kwa kuweka mkono
mmoja kwenye mapaja yake.
Jinsi ya kufanya; shikashika sehemu za katikati ya mapaja kwanzia
magotini kwenda mpaka karibu na uke.unaweza fanya hivyo wakati ukiwa
unambusu.
9. Nyayo za miguu; nyayo za miguu zikiguswa hata kwa mtu ambaye
sio wa kike zina msisimko sana kama wa kutekenywa hivi na sina msisimko
mkubwa kuliko sehemu nyingi nilizotaja.
Jinsi ya kufanya; shika nyayo moja ya mguu kisha kwa kutumia viganja
viwili tomasa katikati ya mguu kwanzia kwenye kisigino mpaka kwenye
vidole.usitumie nguvu nyingi...
10. Kinembe [critoris]; hii ni sehemu ya mwanamke ambayo kazi
yake ni kuleta msisimko tu na raha kwa mwanamke..eneo hili linazaidi ya
mishipa ya fahamu 8000, ni eneo dogo sana lakini shughuli yake sio
ndogo. naweza kusema ndio eneo lenye msisimko mkali kuliko yote
niliyotaja hapo juu na likiguswa tu mwanamke analoana kabisa.
Jinsi ya kufanya; kidole chako kikubwa cha kinganyani bonyeza na
kuachia sehemu hiyo kama mtu anayekagua parachichi pia sugua kwenda
chini, juu na pembeni kuangalia muhusika anapenda wapi zaidi pia kama
una uhakika na usafi au afya ya muhusika unaweza lamba lwa kuzungusha
ulimi sehemu hiyo.
Mwisho; sehemu zote nilizotaja hapo juu ni muhimu sana kwa ajili
ya kumuandaa mwanamke japokua kila mwanamke anapata msisimko zaidi
kutokana na yeye mwenyewe alivyo yaani mwingine shingo linaweza kua na
msisimko wa kawaida likiguswa lakini mwingine ikawa msisimo mkali
zaidi.
Home / mahusiano /
mapenzi /
mwanamke
/ HIZI Ndio Sehemu 10 zenye Msisimko Mkali zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.